NEWS

2 Juni 2019

Changudoa Ananipiga Mizinga na Kuniambia Ananipenda



Nilipita club moja nikaopoa changudoa moja ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kimoja hapa mjini. Kabla sijapiga mambo alinidai nimpe chake kabisa nikampa tukaenda zetu kuburudika.

Sasa kwa vile ni toto limeumbika balaa kama mnavyo muona Hapo Juu kwenye picha nikachukua namba ili nilitafune tena siku nyingine na yeye akaomba yangu nikampa.

Sasa nashangaa baada ya hiyo siku ananitumia kibao za kuniomba hela na kuniambia ananipenda anataka kuwa wangu kimoja wakati anajua madhingira tuliyokutana na jinsi alivyojiweka kimaliya kwa kuniaomba hela kwanza kabla hajania mchezo , mie najua uhusiano wetu ni wa nipe nikupe.

Sijamtumia ananisumbua sana mpaka kero sasa. Sasa sijui nifanye nini kwa uzuri ni mzuri hasa hasa umbo na weupe wake ndio wanichanganya..////ila ile fact ya kuwa nilimkuta katika madhingira ya kujiuza inaniumiza kichwa nahisi sinta kuwa na amani nikimkubalia...

Nifanyaje wadau ? Nimtose ama?