Leo nimeuzika sana wadau Asubuhi wakati napata morning Glory kwa Mke wangu nimegundua Kwenye Titi Sehemu ya chini ana Tatto imeandikwa "I lov u James" kwa Maandishi Madogo sana kama haupo makini unaweza usiyaone...Nimekaa nae Mwaka mzima Leo ndio nakuja ona Nilivyojaribu kumuuliza anakuwa mkali na kusema ni jina la Ex Wake kabla hajakutana na Mimi....
Wadau Hapo Mnanishaurije ? Kila nikiona hiyo Tatoo Am Sure Mood zitakuwa zikiniisha