NEWS

30 Julai 2019

VIDEO: BATA LA WASANII ZANZIBAR USIPIME, STEVE NYERERE AFUNGUKA


WASANII wa Bongo Movies wameendelea na bata lao visiwani Zanzibar ambapo wamepata fursa ya kutembelea hoteli ya Verde huku swahili Flix ikiendelea kuwapa mambo mazuri.

The post VIDEO: BATA LA WASANII ZANZIBAR USIPIME, STEVE NYERERE AFUNGUKA appeared first on Global Publishers.