Leo Agosti 01,2019 Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anazindua rasmi Jengo la tatu la Abiria (Terminal III )katika Kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Tazama hapo chini