Msanii wa Bongo Fleva, Rajab Kahali ‘Harmonize’ ameachia ngoma mpya ya ‘KWANGWARU REMIX’ ndani ya video hiyo ameeleza kufurahishwa kwake na maendeleo yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli kwa wananchi.
The post VIDEO: HARMONIZE FEAT MAGUFULI KWANGWARU REMIX appeared first on Global Publishers.