Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na mamia ya Wamiliki na Waendesha Bajaj na Bodadoda Mkoa wa Kilimanjaro, katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa CCM, Mjini Moshi, Mkoani humo, jana.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amepiga marufuku Bajaji na Bodaboda kulipishwa faini papo kwa papo wanapofanya makosa ya barabarani badala yake amewataka Polisi kutoa siku 7 kama wanavyofanya kwa magari
Lugola ameyasema hayo katika mkutano wa Wamiliki na Waendeshaji wa vyombo hivyo, Mjini Moshi, Agosti 2, 2019.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira alipokua anazungumza na mamia ya Wamiliki na Waendesha Bajaj na Bodadoda Mkoa wa Kilimanjaro, katika Ukumbi wa CCM, Mjini Moshi, Mkoani humo.
Kangi Lugola akizungumza na mamia ya Wamiliki na Waendesha Bajaj na Bodadoda Mkoa wa Kilimanjaro.
Mmiliki wa Bajaj Mjini Moshi, akimuuliza swali Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (hayupo pichani), wakati wa Mkutano wa kutatua changamoto zinazowakabili wamiliki na waendesha bajaj na bodaboda Mkoani Kilimanjaro.
.
The post WAZIRI LUGOLA APIGA MARUFUKU BAJAJ, BODABODA KULIPISHWA FAINI PAPO KWA PAPO appeared first on Global Publishers.