NEWS

29 Desemba 2019

Mrembo wa Kenya Huddah Monroe Apanga Kumshitaki Aliyemtoa Bikira..Adai Alimbaka


Mjasiriliamali na mwanamitindo kutoka Kenya *Huddahthebosschick apanga kumshtaki akimtoa bikira

Kwa mujibu wa Huddah alitolewa bikira pasipo idhini yake. Mwanaume alimlewesha kisha akafanya nae mapenzi bioa lidhaa yake

Huddah amefunguka hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram wakati akiulizwa maswali na mashaniki wake

Huddah amedai kuwa kitendo hicho kwake ni **ubakaji na anafikiria kumfungulia mashtaka jamaa huyo