Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ametangaza kuwa atakihama Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi mara atakapomaliza muda wake wa ubunge.
Selasini ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma.