NI Msanii kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae time hii amefunguka mbele ya waandishi wa habari kuhusu kupima (VVU) Ukimwi na kueleza Uzazi wa mpango, itazame hii video hapa VIDEO: