''Tunataka Bunge lisitishwe shughuli za Bunge kwa siku 21 kuruhusu Wabunge na watumishi wote wa Bunge kwenda karantini, kupima Wabunge na watumishi wa bunge na familia zao kubaini ni wangapi wana maambukizi ya korona ili stahiki zichukuliwe
Tunazitaka kamati mahususi za Bunge hususani kamati ya huduma za Bunge na kamati ya uongozi zifanye vikao vyake kwa njia ya mtandao ili maamuzi muhimu kuhusu utawala na mwenendo wa Bunge yaweze kufanyika''-CHADEMA