Mpiga picha wa msanii wa Bongo Fleva @diamondplatnumz @lukambaofficial ameeleza jinsi Boss wake @diamondplatnumz anavyojifukiza kwa lengo la kujikinga na Corona.
Lukamba ameongeza kuwa @diamondplatnumz ni hatari sana kwa kujifukiza maana @mama_dangote ndio fundi wa mambo hayo “Tunajipiga nyungu mmoja mmoja kuhofia kuambukizana Corona.