NEWS

1 Mei 2020

Serikali ya Tanzania yakanusha vifo 50 vya Corona vilivyoripotiwa Kenya


Kupitia ukurasa wa Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania wa Twitter umepost ujumbe huu:-

“Huu ni uandishi au “uhandisi” wa habari? Inasikitisha kuona jinsi @ntvkenya inavyokuwa wakala wa uongo na uzushi. Nawakumbusha wazandiki hawa kuenzi misingi ya taaluma badala ya umaamuma”

Huu ni uandishi au "uhandisi" wa habari? Inasikitisha kuona jinsi @ntvkenya inavyokuwa wakala wa uongo na uzushi. Nawakumbusha wazandiki hawa kuenzi misingi ya taaluma badala ya umaamuma.