NEWS

1 Mei 2020

Tazama Jinsi Mchambuzi wa VIDEO Kutoka Marekani Alivyoichambua VIDEO ya Sukuma Ndinga ya Rosa Ree Feat. Rayvanny...


That Fire LA ni mchambuzi wa Video mbali mbali online kutoka marekani...amepata umaarufu mkubwa kwa kukosoa video mbali mbali za wasanii wakubwa kutoka marekani, sasa amekutana na Video ya Rosa Ree feat Rayvanny inayoitwa Sukuma Ndinga na Kuichambua ipasavyo

VIDEO: