Ni kawaida kukutana na Msafiri anapambana kukokota begi lake na kiukweli kuna kero zake tena pale kunapokua na begi zaidi ya moja ila Wataalamu huko majuu wamebuni begi ambalo halihitaji binadamu kulivuta wala kulibeba, unali-set tu linakufata lenyewe kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.