Zawadi kedekede zitatolewa kesho kwa wateja wa TECNO Camon 17 na kati ya zawadi hizo kuna ticket ya kutembelea Mbuga za Wanyama Tanzania, Fridge, King’amuzi cha DSTV, Drones na nyenginezo.
Wakati wa maandalizi ya utoaji zawadi hapo kesho Manager Mauzo Bi, Mariam Hussein alisema kwamba, “bado tuna zawadi nyingi sana tunawakaribisha wateja wa TECNO ambao bado hawajafika madukani kwetu kufika leo na kesho mapema kabla ya utowaji wa zawadi https://user.tecno.com/tz/camon17series-activity?uid=359&type=2#/., TECNO kuwazawadia wateja wa TECNO Camon 17 Kati ya zawadi hizi” na kuzitaja kama nilivyoziorodhesha hapo juu.
TECNO Camon 17 inayawezesha haya na selfie camera yenye MP48 na teknolojia ya 4k video resolution pamoja na camera ya nyuma yenye MP64 na teknolijia ya black and white mode.
Tembelea; www.tecno-mobile.com