NEWS

14 Juni 2021

PICHA: Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Misungwi mkoani Mwanza


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia na kuyashika maji mara baada ya kuzindua mradi huo wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungulia maji kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021.