NEWS

14 Juni 2021

PICHA: Rais Samia atembelea na kukagua Daraja la JP Magufuli lenye Urefu wa Km 3.2 (Kigongo -Busisi) mkoani Mwanza


Ujenzi wa Daraja la kupitisha vifaa vya ujenzi ukiwa umekamilika kwa 100% huku ujenzi wa Daraja la JP Magufuli ukiendelea kwa kasi kubwa ambapo sasa umefikia asilimia 27.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia ujenzi wa moja na Nguzo ambayo imeshawekewa zege katika muendelezo wa kazi za ujenzi wa Daraja la JP Magufuli lenye urefu wa Kilometa 3.2 Kigongo mkoani Mwanza.PICHA NA IKULU